Sheng word ya leo

 
Belii [ beh-lii  ]  ( Noun )

Meaning: Bell bottom trousers

Use: Ankules ame ng'ara belii leo = My uncle has worn bell bottom trousers

Synonyms:


Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Kumbe hisihi pia imekuwa biz?