Ronaldo iza jo! ni Klose

July 9 2014 11:26am     1 356

Photo Credit:Simon Rice   Tingua risto

Forward player wa Germany Miroslav Klose aliweza kutingia team yake dude ya seko na ku make history kama msee ametinga dude mob kwa World Cup.

Klose wakicheza na Ghana aliweza kutinga dude na wakawa level jamo na Ronaldo wa Brazil na dude 15 kila mjamo. Ronaldo alitinga dude yake ya 15 wakiwa wanagusa na Germany na sasa Klose ametinga yake ya 16 waki play against Brazil. Ronaldo alikuwa player mnoma sana enzi zake na alimanage ku make team yake hadi kukwachu World Cup.

Klose sasa ndiye ana lead na madude kushinda player mwingine wowote ameshawai cheza kwa world cup. Klose akona miaka 36, na ametinga dude sabini(70) akiwa amegusa mechi 135, nakum make top scorer nchini mwake. Tunacheki ameweza kumshinda player mwingine mnoma Gerd Muller akiwa na dude 68 kwa mechi 62.

Klose sasa anaweza rankiwa kwa level kama za akina Pele na Uwe Seeler wa Germany, kuweza tinga kwa finals za World Cup. Miroslav Klose aliboniwa husuko Poland, but saa hii yeseye ni citizen wa Germany na anachezea Club Lazio, but contract yake inakatika this summer na ana expectiwa ku join MSL.

Related Stories