Argentina ime nyamazisha Dutch kwa ma pena

July 10 2014 2:31am     0 411

Photo Credit:BBC   Tingua risto

After kuwatch game mwenda jana kati ya Germany na Brazil mahali Brazil walinyeshewa 7-1, leo Argentina walisakata ngozi na the Netherlands but game ilikuwa bore kiasi first half kama yondhe.

Match ilienda full time kama bado wame kwama kwa 0-0. Teams zote zilikuwa zina play defence na offence mwenda design hawaku taka ku risk hata kidogo na ma shots za kimalamala.

Mahali hapo second half, Van Persie alisubiwa na Klaas-Jan Huntelaar kwa 84th minute. RVP hakuwa na game poa leo juu most of the match alikuwa ame wekwa man kuruka. Lionel Messi pia hakupata chance poa ya ku strike juu yeye pia alikuwa ame wekwa man ya kinyama.

Ilibidi game iende extra time but hata hiyo haikuleta bao hata jamo ika baki game iende ma pena.

Pena ya fao ya Dutch ilikindwa na Ron Vlaar venye aliipiga ondoch goalie wa Argentina, akaisave. Pena ya fao ya Argentina ika placeiwa vipro na Lionel Messi. Arjen Robben aliwahi pena ya seko ya Netherlands.

Ezequiel Garay aka patia Argentina bao ya seko but Wesley Sneijder aka ndonyo pena ya thado ya Netherlands.Sergio Agüero aka patia Argentina bao ya thado venye Dirk Kuyt aka dunga bao ya seko halafu Maxi Rodríguez aka funga chapter na bao ya nei ya Argentina na kuwapitisha straight to semi yenye wata play against Germany.

Netherlands walitoka na 56% ball possession but hiyo haikuwagei game. Sasa wata sakata ngozi na Brazil kuwahi 3rd na 4th place hii sato inamuja.

Related Stories