Nigeria wakageiwa sasi na FIFA

July 10 2014 11:45am     0 448

Photo Credit:BBC   Tingua risto

Imebaki team za futa Nigeria zimegeiwa sasi na FIFA baada yaku chuja wasee wa Nigeria Football Federation(NFF), na kureplace na sole administrator. FIFA inadai watachorea kuwakazi kwa shuguli za futa once wamechagua executive committee ya (NFF) yenye inafaa.

Kulingana na hii statement ilikuwa inadaisha NFF haitaweza wakilisha kwa mechi zozote zenye zitafanyika regional, continental ama international zikiaffect hadi level za ma klabu na friendly matches.

Juu ya hii risto sasa team ya kidem ya Nigeria under-20 haitaweza wakilisha kwa Women World Cup 2014 husuko Canada na zitakuwa zinaanza hapo 5th August 2014. Kama Nigeria haita lift hiyo burn by 15th July then hawa madem hawata weza kuwakilisha nchi yao.

Gava ya Nigeria inadaisha hii move ilikuwa essential ili waweze kuchagua wasee wanafaa kwa hizo post za NFF, juu team ya Nigeria imekuwa ikiperform viudu sana. Tunacheki NFF President Aminu Maigari alidandiwa na ma mbang’a alipo dondoka ndege akitoka Brazil baada ya kuchujwa kwa round 2 ya FIFA World Cup 2014 husuko Brazil. Ata hivyo Maigari alirudi aka achiliwa baada ya maidhaa kiasi kushinda rundema.

Kulingana na laws za FIFA gova haifaikushugulika na shuguli zozote za futa za kuchuja wasee wa local body.

Related Stories