Germany wakapenya na World Cup 2014

July 14 2014 1:30pm     0 452

Photo Credit: Alan Tyers   Tingua risto

Ilikuwa mechi mwenda tu sana kucheki team mbili noma waki battle it out, but kabla mechi ikatike tumetambua nani mnoma kati ya hizi team mbee.

Germany ndio team ya fao kuwai shinda team ya South America kwao, na bado ni team ya fao kuingiza sub na akatinga kwa finals za World Cup. Germany walipata dude kupitia Gotze after kupewa crossy tamu kutoka Schurrel ikavuka ma defenders watatu hadi kwake Gotze aka control na chest na kuskuma nduki hadi kwa net.

Tunacheki team zote zilipata chances kibao sana za kutinga but haziku make, hadi extra time Germany waka pata dude. Wasee waliperfom ni madefender wa Germany pamoja na gola Neuer, ilipofika time ya presentation. Tunayebi golden glove trophy ilimuendea keeper wa Germany Manuel Neuer, alafu the most outstanding player 2014 ikaendea Lionel Messi.

Na bado tunacheki msee mwingine mwenye alicheza role bwaku sana ni Schweinsteiger, ata alipoumia bado alizidi kucheza hadi last minute. Hii imekuwa World Cup jamo interesting tu sana juu ya kucheki maplayer wengi wa nira na bado wanafanya mambo.

Game interesting ilikuwa ya Netherland vs Spain venye Spain wakatingwa dude kobole kwa jamo alafu ya juzi ilikuwa kati ya host Brazil vs Germany ambapo Brazil walitingwa dude saba kwa jamo mtaani kwao….Big up tu sana kwa the German Machine juu wanadeserve hiyo trophy baada ya kushow game noma sana all through the tona. Next World Cup ita hostiwa na Russia 2018.

Related Stories