Sema aibu ndogo ndogo…

July 25 2014 4:21pm     0 543

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Venye countries 70 zimetuma their best teams, kuwakilisha kwa Commonwealth games na husuko Glasgow, Kenya haikuwachwa manyu.

Lakini Team Kenya ilistand out vimajor. Waliamua kupeleka ushamba yote husuko. Walikuwa wanawakilisha mng’aro za 90’s kama ; jinika za Savco , zile jako za Tokyo, na ile Kenya Uniform ya zamo.

Alafu kuzidisha walikuwa wanachapa raundi kwa streets za Glasgow. Tena wakidai ati hawakuwaiwa official kits kama team. Si nilidhani gava inakuwanga imeweka budget ya kushugulikia wale wasee wanaenda kurepresent Kenya kwa mambo kama hizi?

Related Stories