Kuhusu kudoze na nangos….

July 28 2014 12:40pm     0 677

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu wasee kuamua kusonga lembe na risto za technology, kumekuwanga na changes kibao sana. Lakini ile change imeweza fanya impact mwenda ni musi. Na ata kama zilimuja kumekisha life kukuwa easier, kuna venye zina blanda vimost.

Ariel Tolfree ni teenie alikua na musi aina ya Samsung Galaxy S4. Hisihi ni ile inajulikana kama Smartphone na ikona features mwenda kuruka.

Ni kawa kwa wadhii kuenda kudoze na musi zao na this round, husuyu teenie wa kutoka Texas alifanya tu hivyo. Alinywes kiasi tu, kuchomeka akiwa ametuna.

Hii ni coz nangos yake ilishika nare baada ya beha ku overheat. Inasemekana ilianzisha kamoto niche ya pillow ya Ariel na ikachoma part ya mattress. Bahati poa alinusa kitu inaburn alafu akaamka kuget nangoz kama imemelt chakari.

Kampu ya Samsung, wanadai hii risto ilihappen juu beha ya hiyo nangos haikuwa oriji. Ata hivyo bado wanazidi kuduu investigations za kutambua kwanini iliburn. Alafu wanadai kuwai huyo mniaju fone nira na pia zile vitu zilichomeka. 

Related Stories