Mamba inaitwa MJ imededishwa!

August 20 2014 12:49pm     0 358

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna crocodile nifla ilikuwa imepewa jina kama ya msanii, Michael Jackson. Na ilikuwa kwa sababu, ilikuwa ni half albino. Sa hisihi mamba iliweza kuingia kwa rivee, na husuko Australia’s Northern territory, mahali mjamaa wa miaka hamsa na saba alikuwa anafish.

Ilifanya kuattack huyo msee lembe ya wife wake, mwenye alimuja akijaribu kusave hazii yake. Since hakufaulu, aliita makarao na officers wa wildlife, wenye walitrack down MJ na kuishoot hadi kuidedisha.

Mwili ya huyo msee alimadwa na MJ, ilirudi kupatikana baaden kama imeshambuliwa na wanyama wengine ninda ya waba.  Ata inasemekana hiyo rivee ya Adelaine ikona population bwaku vimost ya macrocodiles, na wasee wanaitumia wanafaa kukaa chonjo.

Related Stories