Mniaju akona mikono bwaku kuliko mdihe!

August 20 2014 3:26pm     0 397

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

 Manze inakaa India ndio imejaza mafreak show wote. This  round sasa kumepatikana mniaju akona mikono bwaku  kuliko mdihe yake.

Ni mboiyz wa miaka nane, na hisihi shida ako nayo imefanya life yake kukuwa the hardest. Kaleem hawezi  kuduu task simple kama kudema, kufunga shoe lace, kujikuna , kung’ara cladi, kuhold hands na mapero, na more.

Mikono zenyewe ziko 13inches  kwa ukubwa na zinaweigh kama kilo nane. Doki wa mtaani anadai anaweza  kuwa anasuffer from lymphangioma ama hamartoma, zenye ni treatable. Lakini bado wanatest kama ni genetic deformity.

Kaleem anafaa kuwa anaenda chuo lakini coz watoi hushinda kumchongoa , hubidi amebaki mtaani na masake. Alafu bazenga wa kwake hawezi afford kumpeleka hosi kupata treatment juu anaget salo pyenga sana. Sa ata dream ya Kaleem kucheza cricket inakaa kupotelea mbali.

Related Stories