Mdhama aka boni waniaju 17

August 22 2014 1:15pm     0 421

Photo Credit:worldnewsdaily report   Tingua risto

Husuko mayolo kuna mdhama nifla alivunja record, kwa kuwahi boni waniaju fogo kwa kutumia hours 29. Hii incident ilihappen last weekend kwa hosi flani inajiita Indianapolis Memorial Hospital.

Doki alikuwa anamsadia huyo mdhama kuboni anajiita Dr. Jack Morrow, anadai hii ilikuwa incredible, akiwa anadhani ni mjamo alishtuka juu waniaju walikuwa wanashinda wakimuja kumuja na kumuja. Alikuwa anadaisha jo! hii ni nightmare yenye haishi.

Catherine Bridges na hazii wake wamekuwa wakitry sana kupata mtoi but hawakuwahi kuwa na bahati. Waka amua ni heri kuenda kuget medical assistance husuko Rhodes Island, na insemination process ikawa successful na hasapo ndio waka get waniaju 17 na wote wakiwa maboy.

Hisihi couple already washa amua majina za hawa waniaju, na majina za hawa waniaju ni James, Jacob, Jason, Jeffery, Jeremy, Jerome, Jesse, Jimmy, Joachim, Jonathan, Jonas, Joseph, Julian, Jimbo na surprisingly Darth Porkinus.

Related Stories