Intro ya bell kwa baesa

August 25 2014 11:45am     0 429

Photo Credit:WAINAINA NDUNGU   Tingua risto

County Governor wa Nyeri, Nderitu Gachagua, ame unleash bill nifla yenye ina daisha baesa zote lazima ziwe na bell yaku warn wasee wale wanawaka.

Mapatron wata have kuwa na bell kwa baesa, nazikiwa zimebaki dakika kinde na ngovo kabla stipulated time ya kutinga baesa wana ringisha bell. Alafu idhaa ikiwa imekatika ana ringisha tena raundi ya seko, raundi ya seko nayo itakuwa idhaa ya kuchuja wasee kwa baesa.

Governor Nderitu Gachagua anadaisha baesa zote Nyeri lazima ziinstall warning bells. Alafu bado akadaisha wasee watahave kuboti tei kutoka kwa deports na sio ma distributors wa ma van. Hii rule imetokea baada ya Nyeri kuwa na issues most sana juu ya tei, wasee kugenya juu ya kunywaku tei mbaya, wazae kukwara kurudi mtaani na bado wazae kulemewa kutosheleza ma wife wao pande ya mapezi.

Sasa tulikuwa tunauliza kama hii bill italeta mabadiliko poa ama risto ya tei bado tu ita zidii kuwa mbaya.

Related Stories