Kuhusu njiva na kuku pono….

August 27 2014 4:40pm     0 1849

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ni kama ishakuwa trend kupitia kwa fast food na kujishikia kajuala ka manjiva na kaquater. Raiya kibao hudai ni affordable na pia inasave time ya kusaka keroma. Alafu pia kuna kautamu kanakuanga kwa hisihi dema, yenye hufanya msee anabaki akiwa addicted.

Lakini chenye wasee hawatambui ni eti wanadishi causes za cancer, diabetes na heart diseases. Hiyo ni coz tunaingiza mafuta mbaya ama ile inajulikana kama saturated fat, yenye hurudi kulipua hizi maugonjwa kwa mwili zetu.

Kuna tofauti kati ya mafuta zenye tunamanga. Saturated fats ndio the worst juu zinabaki kwa mwili longer alafu zinaraise levels za cholesterol. Na chances za damu kupata clots inapanda, yenye hurudi kuleta heart disease ama stroke. Mafuta poa nazo ni kama vegetable oils, examples zikiwa olive oil na sunflower oil.

So ukiwa kanenge, heri kunyenyekea na kutumia ganji mob kiasi lakini heri kuboti keroma healthy ama kukwama na kujipikia tu.

Related Stories