Mayadi hanaku takoh…

August 28 2014 5:06pm     0 605

Photo Credit:Google   Tingua risto

Naweza penda sana kuyebi siku, GG itakuwa bila takoh. Ni kama kanjo wamelemewa na wera yao ya kuduu clean-up na imebaki tao kukaa kama dumping site jamo bwaku. Hisihi ni dream tu juu management ya environment imeingiza siasa na 254 ishageuka heaven ya machokosh.

Lakini kuna area tunafaa kujifundisha nayo, kulingana na venye wametumia ujanja na kuweza kupata environment jamo clean, kukuwa financially safe na kusupply energy kibao. Tangu 1940, Sweden wamekuwa wakirecycle takoh vimwenda,alafu wanaitumia kama source of energy.

Sa zaidi ya ton  mita mbexes za waste, hufikishwa kwa waste recycle plants,zenye zinapitia inceration na kuprovide heat na masti kwa makeja around the country. Hii process imekuwa intense hadi Sweden inatambulika kama the trashless country. Hadi inabidi wanaimport takoh kutoka mayadi zingine. 

Related Stories