Chenye malanga huduu wakibeat!

August 31 2014 1:37pm     0 369

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sa kuna French photographer mjamo alikuwa curious akidai kujua chenye hufanyika malanga wakibeat. Alifanya kujenga hema na husuko Mexico city na akapata kuna facility nifla yenye inakubalisha makuro wale wazee kuishi hasapo baada ya kuretire.

Mambuus karibu mbao na six kati ya miaka 55 na 86 ndio wanastay kwa hii facility. Na walichapia husuyu photographer, risto za maisha zao wakiwa wanahustle kwa streets. Lakini bado hawajawai weza kuhepa hiyo njaro ya life, juu ndio janta wanaelewa tu poa.

Carmen Munoz alianzisha hii jakes ya retirement, since pia yeseye alikuanga kuro hapo bafo. Alikuwa anadai, ilikuwa hard kufanya hao madem kukalishana kwa amani juu walikuwa territorial coz compe ya kuwai clients ilikuwa kutoka zamo.

Enyewe ni poa kuna msee analook out for hawa raiya juu sidhani kuna msee anawajali hivyo sana. 

Related Stories