First bodii ata bila mikono….

August 31 2014 4:28pm     0 432

Photo Credit:mail online   Tingua risto

Baada ya kupoteza mikono zake zote limbi, Barbie Thomas, alijifundisha kutumia chenye alibaki naazo, zikiwa miguu zake. Na enyewe amekuwa mnoma sana kwa kufanya waks za kawa zenye wasee hutake for granted.

Akona talanta ya kipekee, zaidi ya kutumia miguu zake: kubrush meno, kutoa keroma kwa frigesa, kutext, kuenda shopping, kupaka makeup na ata kudrive. Alicheki mambuus kwa magz za fitness wakiduu stuff za body building na akabambika vimost.

Ata akiwa madha ya waniaju wambwexes, aliamua kuingia kama contestant, alafu the rest ikawa history. Barbie anadai anapenda sana kukuwa first bodii na imefanya ajipende more. Unaweza kemba mbisha zake hasapa nichi. 

Related Stories