Danny Welbeck aka join Arsenal

September 2 2014 11:59am     0 732

Photo Credit:Goal.com   Tingua risto

Arsenal FC imekubali kutoa mita mbao yakusign Danny Welbeck.

Welbeck ame signiwa for four years contract na 16 million pounds na option ya the fifth year akuwe ana manga pound 120,000 per week. Arsene Wenger ali make hii bid baada ya kuhata kumsign Radamel Falcao na Loic Remy over the last 48 hrs kabla transfer window kutingwa.

Ata hivyo Gunners waliponea sana juu Welbeck alikuwa anatakikana na Tottenham, but hao walikuwa wanadaisha kumsign on loan kutoka Manchester United. Inasemekana hapo mbeleni Arsenali ilikuwa inadaisha kumsign na 16 million pounds nao Man U walikuwa wanadaisha 23 million pounds. But wali settle deal to 20 million pounds, Man U nao walikuwa wanakwara kum release hadi wamade kumsign Radamel Falcao kutoka Monaco.

But kulingana na sources inasemekana Welbeck on Monday alikuwa London aki train na Arsenali, but leo jioni atakuwa ana undergo medical check up.

Related Stories