Blanda za kuchomoa ganji kutoka ATM…

September 15 2014 4:14pm     0 285

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wasee wengi walimuja kanairo kusaka hustle ndio waingize mkwanja ya kusurvive. Na zile njaro zimetumika kusaka hisihi cheddars, zimekuwa kibao hadi inabaki raiya lazima kukaa chonjo kila matime.

Sa kunayo blanda nira, ata makarao wanadai kuna hotspot za kuhandwa ukitoka kuwithdra mkwanja kutoka bankiko. Hizo area ni kama ; Parliament Road, Ngara, Taj Mall, na TRM. Inasemekana hao madingo wanafanya kuabduct wadhii wametoka kuwithdraw ganji kibao, alafu hurudi kuwa dump area za Karura forest ama Ngong forest.

Hao madingo pia wanajifanya kukuwa masanse, lakini wanacladi kicivilian. Alafu victims wanadai wako na chengerere, tenje za karao, na bunde. Ambapo wakishaspot target, watamdandia, kumgosa na kumchuja mbio.

Inadaishwa wanasakwa, lakini machogi wa bankiko pia wanashukiwa kukuwa janta pamoja na hawa wasee.  Tutajua tu ukweli soon.

Related Stories