Regina Mutoko amegenya!

September 15 2014 4:25pm     0 251

Photo Credit:Google   Tingua risto

Monday 15th Sept 2014, raiya wa 254 waliraukia risto jamo sad sana, ikisemekana Regina Mutoko amekamanyuria.Unaweza kuwa unamtambua kutokana na kipindi ilikua ina air hapo zamo, kwa KBC inaitwa Omo Pick A Box. Alirudi akakuwa IT Consultant baaden.

Inasemekana husuyu mtasis wa KISS FM Presenter, Caroline Mutoko, aliget a bathroom accident, yenye ilimdedisha.

Enyewe ilikua shock bwaku sana kwa mabeshte na famo. Na tungependa kupitisha condolences kwa famo ya kwake coz wamepoteza manzi mjamo  special sana.

Related Stories