Dunia nira ya malezzy…

September 15 2014 4:43pm     0 852

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama haikuwa mbaya kutosha kupata wasee wa same gender  wameamua kusexuana, sijui utachukua aje hisihi risto.

Piga mbisha ya mdhama na mniaju wake, mdem. Alafu riba wanakuchapia ni ati, wamependana. Of course utadai hiyo ni kawa kati ya mse na mathake lakini ya hawa ni mapenzi ya malover, yaani wanakatiana.

Mary Carter anadai wamekuwa attracted to each other (na daughter), tangu Vertasha akuwe miaka kinde na six. Lakini wakachill hadi afike 18, kabla kuanza kumangana.  Na sasa wameamua kujitokeza in public, wakitaka kusaidia wasee wanaweza kuwa kwa situation kama yao, kupata confidence na kujibali venye wako.

Ata kama wanatambua incest haikubaliki na law, wanadaisha hiyo relationship yao haina mbulu, kwa sababu hanaku mniaju atazaliwa coz wote ni mambuus. Alafu eti hanaku msee wanaumiza. Plus wanapenda kuwaiana lungula tu.

Unadhani wanafanya kitu poa ama wanakushukishia?

Related Stories