Kataa hustle ya kuwai divorceā€¦

September 15 2014 5:15pm     0 446

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Wasee washakapitia wakijaribu kujichuja kutokana kumarika, lakini kuna solution. Kuna venye mnaweza get away kwa hoteli yenye inapeana service za kuwachana kiroho safi na fasta, bila hustle . Ambapo mtakuwa Happily Divorced.

Hoteli yenyewe iko Netherlands, na zaidi ya kukuwa na services za kawa za kurelax, inasaidia wasee wameboeshana kuwai divorce fasta bila hustle. Inajulikana kama the Gideon Putnam Resort na ilianzisha hii program in 2011.

Wanaoffer package ikona rooms mbexes separate, mediator wa kufinalize terms za divorce, na experts wanaweza ongezeka ikakuwa ni risto hard kutatua. Kunayo pia Spa na grao mwenda za kuchapa raundi.

Utahitaji ndiwike jamo tu kupata divorce na kurudi mtaani ukiwa single. Enyewe ni njaro mwenda sana ya kukatiza relationship, lakini sijui kama inaweza work hasapa 254.

Related Stories