Risto ya The Galton Fenzi Memorial

September 16 2014 12:39pm     0 783

Photo Credit:Image Courtesy http://www.eamemorials.co.uk/   Tingua risto

Hasapo kwa junction ya Kenyatta Avenue na Koinange street kuna monument nifla ya tenee tu sana hasapa Kanairo. Ni burungo wasee wengi sana hawaitambui ama pia hua hawaishughulikii. Monument yenyewe inajulikana kama Galton-Fenzi Memorial na bado inajulikana kama the Nairobi Military Stone.

Dimanga yenyewe ilimekishwa back then, enzi za 1939, in memory of mjamaa nifla alikuwa anatambua warosho mob sana within East Africa. Mjamaa mwenyewe alikuwa mlami though na alikua anajulikana kama Lionel Douglas Galton-Fenzi.

1919, Douglas Galton-Fenzi alikuwa msee ma adventure tu sana hadi yeseye ndiye alikuwa msee wa fao na founder wa (Royal East Africa Automobile Association). In 1923, akaanza kunego kuhusu risto za kuloan madinga ndio aweze kutry kudrive kwa mabaro za East Africa. Juu ya hii risto ya kunego aliweza kuget madinga kadhaa, including Riley 12/50 kutoka kwa Riley Motors Car Co. Ltd of Coventry The East Africa Standard walisema hivi juu yake; Galton Fenzi alikuwa msee wa kufanya vitu teke teke hadi the public haina idhaa ya kurecover its breath.

Jan 1926, akiwa anagonya hisiyo 12/50 Riley, Fenzi ndiye aliwahii kuwa msee wa fao kugonya dinga kutoka momba hadi Nai, total distance ya miles soo tatu. Alafu baadaye akazidi kutoka Nai hadi Dar es Salaam hadi Malawi, alafu pia ubaro kutoka Nai hadi Khartoum.

Next time ukiwa hio area, piga ka selfie utusundie kwa mtandao, either Facebook, Twitter ama hata Instagram.

Related Stories