Mzae alikuwa na beef na Rao

September 30 2014 11:45am     0 260

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Opposition leader na Former Prime Minister, Raila Odinga, amekuwa akihold rally nifla inajulikana kama Okoa Kenya, akipiga raundi county zote hasapa 254. Sa akiwa Kwale, kitu jamo ya ajaabu sana ilitokelezea.

 Ka-mzae kalisneak manyu ya Rao na kuanza kumwangushia viboko. Alishambulia pia Governor Salim Mvurya wa hiyo area, kama wanakatika dance ya kicoasto inaitwa Sengenya. Manze huyo maze alikua fast sana hadi aliweza kupenya na kusurprise massecurity officers.

Lakini ata akibambwa alionekana kama msee hakuwa amemada mission yakwake, juu bado alikuwa na mahasira. Inasemekana yeseye ni msee mentally unstable. Na inaweza kuwa alifyatuka tu hadi kujipata akiwang’a Rao.

Inadaishwa aliwachiliwa juu walidetermine ni chizi. Alafu ata kuna wasee walidai alijam juu Rao alikuwa anakatika na wifey wa kwake. Lakini itabidi kusetiwe njaro machizi watapata usaidizi ndio hizi incidences zipungue bana.

Related Stories