Yebi kama utajipata kwa list

September 30 2014 12:39pm     0 1045

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu bahasha ya Ocampo kuvumbuliwa, inakaa raiya ya 254 wameamua kukuwa transparent kwa risto zote. Lakini kunazo list huwezi tamani jina zako kutokelezea. Na kama utakuwa mjamo kwa wale wadhii hukuwa exposed kwa mtandao, iza jo!

Msupa anatambulika kama Mary Munene kutoka KU, ameamua kutolesha majina za wale majamaa ashawahi tuna nao na kuwaachia zawadi in the process. Husuyu stiude wa yuni aliamua kujipatia janta ya karma, na kupay back chenye aliwai fanyiwa akiwa bado stiude.

Amekuwa aki infect wadhii 90 ukedi. Alafu anadaisha pia anaeneza STI yenye aliwaiwa na 4th year Student Leader, akiwa fresher tu kwa kampo. Zaidi ya kulostisha uvajo, alionelea heri kugei kila msee anadai lungula bila kondiecha.

Hasapa utaget majina za wasee mbao, zenye ukipata hauko, itabidi umechill hadi hizo zinengi zimepostiwa. Yebi hasapa nichi hiyo list.

Related Stories