Mayadi vigilante ndio kusema…

September 30 2014 2:25pm     0 414

Photo Credit:Google   Tingua risto

Juu ya zile noma zimejaa India, imebidi gang jamo ya mambuus solo kuchukulia haki zao kilazima. Kupitia Amana Fontanella-Khan, wamadha, madranya na mambuus wote wamemuja pamoja na kutengeneza the Pink Vigilantes.

Hisihi gang inatetea haki za madem, sana sana wale wanakapitia coz ya kuvunjwa na mahazii ama kurape-iwa na majamaa wa mtaa na ata kuzusha kuhusu corrupt politicians. Alafu wao hung’ara sari za pink na kubeba Laathis – miti za mavedi zenye wanatumia kuwang’a wadhii matime za protests.

Sa majamaa wameingiza njeve juu wanagwaya kurwadwa na gang ya mambuus kwa baro. Lakini ni poa pia kuwai justice mbio since makarao hudinda kuwasaidia. Enyewe ni fiti wasee kujiprotect na kusaka njaro ya kuwika hadi waskike kwa hii dunia haijali ata kidogo.

Amana anadai ashawai jaribu kumadwa na wasee wanafeel threatened na hii mraa yake lakini hatishiki juu anajua anaduu kitu poa. Na atazidi kutetea madem na wale wadhii wanyonge kwa society hadi ile siku gava itarauka na kuanza kufanya waks yenye inafaa.

Related Stories