Futa ya maajabu

October 21 2014 10:32am     0 286

Photo Credit:Ryan Rosenblatt    Tingua risto

Defensor Bolivar wakiwa wanagusa game na La Bocana kwa first leg ya Copa Peru Semi Finals. Maplayers wawili wa Defensor waligeiwa red na wakajichuja uwanjo.

Venye walikuwa players wawili down, players kobole walipretend kuwa wameumia wakiwa wamedoro uwanjo.Walipretend wameumia walipocheki mambo haiendi vipoa baada ya kutingwa dude nnei kwa jamo.

Refa hakuwaleta juu, alifanya chenye hao maplayer walikuwa wanadai. Refa alipocheki wanazidi alihave kusimamisha game. Players wa La Bocana walipost videsa ya hiyo game online ndio waweze kuwa embarrass.

Related Stories