Mbisha iliseti mavedi wambeks

October 21 2014 11:15am     0 692

Photo Credit:Google   Tingua risto

Msanii mjamo wa TZ akitolesha ngoma kuhusu Mapenzi Kurun Dunia, alikuwa on point sana.  Karao walimbi kutoka mtaa same na huyo msanii hasapo Tz, walichujwa waks baada ya mbisha kusambaa kwa Social Media,kama wanapigana munju. Kwani kuna noma gani macolleague wakiamua kukuwa lovito bana?

Kumbe bigi wao hakubambika kucheki hizo mbisha na ikabaki amewachuja waks akidai anafuata Disciplinary Procedures. Blanda bwaku zaidi haikuwa kupeana mate kama venye walikuwa kwaenye yuni, alafu ikahappen in public. Ata afande ule alipiga hiyo mbisha alijipata kwa moto, juu waks ilikatika pap.

Raiya sasa imekuwa ikizusha, wakidai hawafai kuchujwa kutoka kwa janta. Itakuaje kupigana munju ni hatia bwaku kuliko kuchukua hongo! Kile tunafaa kulearn kutoka kwa hii risto, ni kwamba mavedi pia ni human, na lazima tukumbe wakona needs kama wasee wa kawa. 

Related Stories