Kugusa bake na mshodhe

October 22 2014 10:49am     0 310

Photo Credit: Rodger Sherman   Tingua risto

Dwyane Wade ni player mnoma sana wa bake na yeseye hugusia Miami Heat husuko mayolo. Sasa Dwyane akona mafans fogo tu sana, but kuna mjamo ali request bash yake ya miaka 90 anadaisha kugusa one on one na Dwyane Wade.

Husuyu fan ni mshodhe anajiita Illuminada Magtoto,kwa jina nyingine anajulikana kama grandma Nelly. Akiwa miaka 89 ali request bash yake ya 90th aguse bake na Dwyane Wade. Hiyo day ilifika na Wade hakumwangusha, juu alitokelezea kugusa one on one na yeseye.

Mshodhe akatokea area Miami Heat huwa wanatrain, lakini hawakugusa eti one on one na Wade. Ilikuwa mshodhe anatupa ball juu alafu Dwyane Wade ana dunk, waliduu hisivyo kwa dakika kiasi, ata mshodhe aka post videsa ikishow venye walikuwa wanagusa.

Wade kwa videsa tunaskia akidaisha alihave time poa sana kuhang out na mjamo wa mafans wake. Na pia mshodhe alikuwa amejazika yake yote na dream yake ili come true.

Related Stories