Results za UEFA Champions

October 22 2014 11:42am     0 550

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Jana 21st Oct palikuwa na mechi kadhaa za UEFA Champions League, na tunacheki kunazo team ziliwin na kunazo team zenye zili loose.

Hasapa kuna list ya hizo team zilikuwa zinagusa jana magizani. Tunacheki CSK Moscow waliweza ku draw aganist EPL Champions 2-2. AC Roma nao wakakung’gutwa dude saba kwa jomo na Bundesliga Champions; Bayern Munich hizi zikiwa team za Group E.

Apoel Nic nao wakaweza kushindwa na Paris St G na dude jamo mtungi. Barcelona nao wakayebi neti ya Ajax mara tatu nao mara moja hizi zikiwa teams za Group F. Group C ikiwa na Chelsea wakiwa wanagusa na NK Maribor, Chelsea wakaweza kusondeka dude sita mtungi. Tukiwa bado Group C, tunacheki Shalke nao wakaweza penya na ushindi walikasondeka Sporting dude nne kwa tatu.

Game zingine zilizoguswa jana ni kati ya BATE Bor, walinyukwa dude saba mtungi na Shaktar Doneski. FC Porto nao wakaswaga Athletico Bilbao dude bwegz kwa janamo, alafu ndio hiyo list ya mechi zitakuwa zinaguswa leo.                                                                                  

 

  • Real Madrid v Liverpool 19:45
  • Zenit St P v Bayer Levkn 17:00
  • Benfica v Monaco 19:45
  • Arsenal v Anderlecht 19:45
  • Bor Dortmd v Galatasaray 19.45
  • Juventus v Olympiakos19:45
  • Malmö FF v Atl Madrid19:45
  • FC Basel v Ludo Razgd19:45
     

Related Stories