Mablanda hosi hufanya

October 23 2014 12:27pm     0 460

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mahosi hupatana na law suits za aina mob lakini hisihi jamo ni ya ufala kuruka. Mjamaa mjamo wa miaka salasa na mbee, Andrew Walls, alikuwa amefika hosi inatambulika kama Delaware Surgery Centre, kuduiwa colonoscopy medical procedure.

Sa baada ya surgery, aliamka na kujipata akiwa ameng’ara ngotha za kidem. Andrew alidai alishangaa sana na ata kupata mental anguish juu ya kushindwa kwa nini hii stuff inamfanyikia.

Anadai kulipwa civil damages venye amesue hiyo hosi coz anajua kwa uhakika hakuenda hosi akiwa amecladi ngotha za madem, kuzidisha za pink. Hiyo risto iko bado kotiko ikingojea verdict na sana  sana itabidi hosi imemlipa for damages. 

Related Stories