Siku ya Diwali

October 23 2014 3:54pm     0 203

Photo Credit:wikipedia   Tingua risto

Manze hasapa 254 tunahata Festval jamo ya vungu ya mapndhre, ikiwa Diwali. Thursday 23rd Oct 2014, ndio tarehe hisihi celebration imeangukia. Lakini kama mamita ya wa Hindus, Sikhs na Jains, wanajibambadunia nzima, tutakuwa tumetulia tu. Hii ni coz gava ilibann risto za kuwachilia fireworks displays mitaani, juu ya security  reasons.

Anyway, Diwali inamaanisha the Festival of Lights. Huwa kuna Fireworks displays, prayers na celebratory events zinaendelea hiyo day. Majakes za mapandhre kudecorate-iwa na candles na colourful lights ni kawa. Pia kunawanga na keroma kibao na wasee kushare gifts kwa wingi.

Diwali huendelea siku ngovo na pia inagongana na New Year ya waHindu. Inasemekana hii ni tradition ya kucelebrate new beginnings alafu triumph of good over evil na light over darkness. So kama dongera wa kwa kwako ni mchuti, jibanze na yeseye kuwai dema ya sare. Na pia ni poa kumekisha ubeshte na mapandhre ama utahata mazuri bana.

 Kwa mabro wetu mapanji, Happy Diwali.

Related Stories