Wesewe ni raiya halisi wa Kenya?

October 24 2014 10:16am     0 707

Photo Credit:Google   Tingua risto

Deputy Prezo William Ruto, aliannounce itabidi kila raiya wa Kenya kuregister na kuwai ID nira yenye ni digital. Hisihi ID inasemekana kucontain biometric information; yaani details unique kuhusu biological markers za msee(birth registration, personal identification number), alafu pia social security(public service commission, voter registration) na national insurance details(NSSF,NHIF).

Ambapo hii system nira itakuwa na accurate information, sana sana kuhusu records za births. Alafu inafaa kusaidia vimost ikimuja risto za kuplan na kuregister for elections. Lakini wera ya muhimu kwake ni ya kuidentify foreigners; wakiwa terrorists na sleeper cells wa kwao, wenye wanatumia magendo kuwabotia hizo national identification papers.

Kumbe gava imekuwanga na hard time kuwai illegal immigrants coz corruption imefanya wakaweza kupata access ya Kenyan ID and Passports, ata kama details kuwahusu haziko kwa the national database.

Ingawa hapo bafo, biometric machines zilifail wakati zilitumika na IEBC kwa kuregister voters wa elections, gava bado inadai this round zitawork poa. Sa kila mudhii anafaa kujipanga kukuwa pamoja na hii program juu inastart July next year. 

Related Stories