Mambo ni kuona farova

October 24 2014 11:00am     0 810

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Club zile sodi husuko majuu, zime ask Fifa kusunda date ya WC 2022, huko Qatar hadi month ya May. Tangu Qatar ishinde kuhost WC 2022, pamekuwa na issues fogo juu ya climate ya husuko.

The European Club Association (ECA), ina include clubs kama Man U, Liverpool, Baca na Bayern na zingine mob, wamekuwa wakichapiana kuhusu date poa  kuhost. ECA inadaisha hii tona inafaa kuhostiwa time ya ‘’spring’’ íle time hanaku njeve most na sola pia sio kali sana.

Question kibao wasee wamekuwa wakijiuliza ni juu time ya kawa ya World Cup inawaga June/July. Na hiyo time Qatar panawaga na sola ingine mwenda. Organisers wa Qatar wamekuwa wakidaisha WC ikiwe time ya summer, juu watatumia technology ya air-cooling kupunguza temperature ndani ya stadi na area fans wanapolea.

Kuna msee alikuwa anadaisha kama ni time ya summer ni poa kama hizi games zinaweza guswa idhaa ya ngware saa zile sola haijachomoka sana. And then, Sepp Blatter anadaisha hizi games ziguswe Nov na Dec, juu Feb patakuwa na Winter Olympics either Kazakhstan ama Chinku wanaweza host na hazita affectiana. But kulingana na European haziwezi kuwa Nov ama Dec juu ita affect fixtures za husuko pamoja na Uefa Champions League.

But May ndio month atleast iko consindered, kulingana na bid ya Qatar kusunda air-cooling technology ndani stadi pakiwa na heat mwenda. Juu Qatar ni moja ya nchi temperature hupanda vimwenda.

Related Stories