Machali wakiwika lazima waskike pia

November 19 2014 10:35am     0 419

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hii weno ya 19th November 2014, ni siku ya majamaa. Kama venye mambuus hudai kuskika, pia machali wakona siku yao special. Hisihi ndio inatambulika kama International Men’s Day.

Venye madem hushugulikiwa kuhusu masaibu zao, ungedhani hao tu ndio hukuwa na mashida. Lakini since kuna risto ya gender equality, tunadai pia maboyz waweze kuzusha na kulilia haki zao. Risto za dead beat zichujwe kiasi na tuyebi venye pia majamaa wamejaza feelings.

Challenges zile bwaku zenye hukapitia ni kama depression, zenye huchangia kuwai mental disorders. Wakati wakizidi kukuwa ignored, inabidi kujirusha kwa riba za madre na crime, alafu ngori inawafwata kinyama.

Blanda inengi bigi majamaa huget ni kuhusu lungula na gender based violence. Ni noma sana kwa chali kureport eti amekuwa raped ama molested. Juu hii risto huingiza discrimination na kukuwa judged ajaab, njaro inabidi msee kunyamaza na mashida zake.

Pia siku hizi kukuwa mwanaume inapimwa na level ya msee kuomoka badala ya bidii zake ama physique kama hapo zamo. Na ata hatujagusia masaibu zote lakini inafaa manze hisihi kulenga  gender jamo kukatika. Hatuwezi kubeba mashida za dunia zote. Heri kugawanya ata ikuwe 50/50.

Kwa hivyo tuungangane leo kuappreciate na kushangilia huyo maze, bazenga, kibronje, ankule, boiyz, mjamaa next na wesewe, juu bila hawa wasee hatungekuwa hapa.

Related Stories