Zikiwachilia kiasi…

November 20 2014 12:04pm     0 233

Photo Credit:Google   Tingua risto

Manze si kila msee humanage kujitoa kwa sorrow ya kupoteza member wa famo, akikamanyuria. Kwanza njaro za kureact hukua kibao na hufika mahali ata huwezi tambua kile ata wesewe unaweza fanya ukajipata kwa hiyo situation.

Sa tukiwa tu kwa hii risto, kuna mdhama mjamo wa na husuko Munich, Germany, mwenye ilibidi amebambwa na kufikishwa githare ya kwao juu ya kutunga na masake mwenye alikuwa amegenya miaka kobole bafo.

Mavedi wanadai walitambulishwa na building manager ama caretaker, kuhusu masa ya huyo mbuus kukuwa missing. Kumbe alikuwa ametry kuulizia kuhusu ule mshodhe na ata kujaribu kuji invite kwa jakes yao, lakini huyo mdhama alikuwa anakwara na madabo.

Ilibaki ameita makarao, wenye waliforce kuingia kwa ile jakes na kuget kumbe ule mshodhe aligenya kitambo hadi akakuwa mummified. Na alikuwa amewekwa kwa bed,wakuwe wakishare na daughter wake.

Autopsy ilifanywa nakupatikana alikuwa ameuma pamba 2009, lakini aligo juu ya natural causes. Alafu mniaju wake akafikishwa psychiatric institution, ndio asaidiwe kucope na hiyo risto. 

Related Stories