Kuhusu kundonyo waniaju

December 17 2014 6:30pm     0 185

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inakaa hii riba ya kukinda waniaju imekuwa bizna ya dunia nzima. Kumbe ilianzia China, kukiwa na doki wa hosi mwenye anafaa kukuwa akisaidia wamasa na guidance ata medical expertise. Lakini Zhang Suxia, alicheki biz mwaki zaidi ya kudingo watoi wa wenyewe alafu kuwakinda ikiwa beteta.

Amekuwa akiduu hivi miaka nane sahii, na famo chwani na ngovo zimegundua yeseye kukuwa connection ya waniaju wao kulost. Angevako mapero eti watoi wao wamezaliwa wakiwa na deformities ama wako karibu kugenya. Alafu alirudi kuwaskiza kuwaeka hosi itakuwa expe, lakini wakimwai $15 angewahelp kumalizana na hiyo ngori.

Baaden juu hao waniaju walikuwa healthy, angewasmuggle kutoka hosi na kuwakinda kwa child traffickers. Wenye wanaboti hao watoi pia huvakoiwa eti ni watoi wametupwa ama mapero wameuma pamba.

Na ata makarao wakiwa wanahepeshana na wadhii kama Zhang, hii biz haikai kudedi hivi soon. Juu ile rate watoi wanalost ni bwaku kuliko wale wanapatikana na kurudishwa kwa mafamo zao.

 

Related Stories