Madem wanademand respect

January 29 2015 3:55pm     0 298

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumekuwa na complaint kibao kutoka kwa mambuus wakidemand respect kutoka kwa machali. Hii ni kwasababu wanafeel wakiwa sexually harassed, matime majamaa wanapiga binja wakipita kwa street.

Mvua imededi, kuna manzi alifanya experiment na akiwa na kamenje hidden, alipiga raundi kwa streets za New York, kuprove vile machali wamekosa tabia. Baada ya masaa kinde alikuwa ameitwa majina kibao na kubongeshwa njaro disrespectful sana. Kuonyesha tu venye kumejaa maperv huku njei.

Bado filmmaker nifla kutoka Peru alipandisha game yake na kung’arisha wamathe vipoa ndio wakae kama madranya, alafu akawashow wapite lembe ya sons zao kucheki watado aje. Ilikuwa blanda kuruka, juu hao maboy walicat call masa zao, kama venye wamezoea kufanyia mambuus wengine. Alafu ngori zaidi ni vile hii risto yote ilikuwa recorded live kwa telly.

Hao wamasa waliconfront watoi wao, wakiwazushia juu ya kukosea madem respect. Na ata tunacheki mjamo akiundwa na kibenje in public. Inafaa hawa sexual offenders kufeel aibu sana, juu huyo manzi anakapitia anaweza kuwa mathako, mtasis, aunty, wife ama ata worse kadaughter bana. Itabidi majamaa kujicheck. wanafaa kutemana na risto za kuchokozana. 

Related Stories