Mita kinde kugo missing…

March 2 2015 3:25pm     1 304

Photo Credit:Google   Tingua risto

Itabidi probox zimechujwa kwa baro manze, inasemekana eti kuna rende ya mathegi walivamia ATM za husuko Athi River na kulost na mita kinde pap, kutoka benkiko ya Co-operative.

Kumbe walipofika yadi, walifunga machogi nakamba, ikiwa; |Emmanuel juma na Jushua Nyariki slafu wakawarusha kwa kiti ya manyu ya ndai aina ya probox yenye walikuwa wamemuja nayo. Alafu wakiwa na mashini za kuweld, waliactia hizo ATM hadi zikajipa na kugosa mkwanja yote ilikuwa pale ninda.

Inakaa walikuwa rada ya ile area, juu ata alarm haikulia, yenye ingealert makarao eti kuna noma. Bado walikuwa wametry kuingia ninda ya strong room kudingo ganji zingine lakini wakalemewa. Walirudi kuhepa na hizo mita kinde alafu wakadump chogi mjamo husuko Jogoo Road, lakini inasemekna huyo mwinengi anatambulika kama Joshua Nyariki, bado hajapatikana.

Kama kawa lazima ikuwe ni inside job lakini makarao wanado investigations zao bado. 

Related Stories