Hepi England unajipata Thailand

March 30 2015 6:27pm     0 432

Photo Credit:Huffpost   Tingua risto

Kuna husuyu mdabus nifla alikua ameenda hepi na beshte yake wakiwa mtaani, Middlesbrough huko England...lakini kuamka anasema alijipata Thailand. Philip Boyle na beshte yake, Jamie Blyth walijipata wakiwa tu na nguo kiasi kwa begi, tisho na ngotha kadhaa na wako na hang'ie mwenda. Walidhani watakua wanakunywa mtaani, bila kelele ni ngoma tu na vicheko.

Kidogo kidogo, wakiwa juu ya ulevi, risto ya kupanga kutembelea mabeshte hawajaona for a while wenye wanapoa Thailand ikachomoka...huyo boy hakumbuki risto ingine, mpaka vile aliamka na hang'ie moja mwenda kuruka.

Hii inakaa ka script ya movie nifla ilikua imetoka a while back, ni kitu ishawai kukufanyikia mkiwa out na wasee? Tuchapie jo

Related Stories