Kwa wale hutamani kuosa..

May 6 2015 11:51am     0 585

Photo Credit:Google   Tingua risto

John Carder ndio mjamaa anaweza sema amewai hustle na kuwai kila kitu angewai tamani kwa maisha. Husuyu mboiyz aliingiza mita yake sio jamo lakini kinde ya fao, akiwa na miaka mbaula na saba pekee (27). Hii mkwanja yote ikiwa ni madolare bana.

Inadaishwa alimekisha ganji baada ya kukinda website yake yenye hufanya waks ya kufind loans mwenda za kuboti property; inaitwa Clientshop. Baada ya kuomoka namna this, alifunga waks na kudaisha kukwachu retirement. Alichukua mabeshte na kuwapeleka kubash husuko Indonesia na kupangia venye atapiga raundi dunia nzima.

Lakini ilibidi mabeshte wamerudi waks, alafu akabaki solo na akaanza kuboeka. Bila kufikiria twice, alijipata amerudi waks pia. Juu aliingia kwa internet na kuboti website nira na kuifanyia wera. Hisihi project nira inaitwa Mogl, ni app yenye maresto zinaweza kutumia badala ya kuwaiyana discount vouchers ama coupons. manze ata hakumada wiki tatu tangu kutemana na waks na kuretire.

Sahii John anadaisha aligundua mkwanja haileti happiness ya foree. Na anchagua kucreate impact kwa wasee badala ya kuhepesha doh. At least mapero wanabambika venye hajawai kutumia usonko yake vibaya lakini anafwatilia vitu zenye zina maana kwa maisha.

Related Stories