FKF Nairobi Championship Cup

May 6 2015 11:54am     0 851

Photo Credit:futaa.com   Tingua risto

Tunacheki already teams soh kinde na four ndizo zitatake part kuplay FKF Nairobi Championship Cup, after draw kuconductiwa Tuesday 5th May, hoteli nifla hasapa Kanairo.

Tona yenyewe ilipokea sponsorship ya mita tatu kotoka kwa Riverbank Limited, na tona yenyewe inaanza hisihi wikendi. Game zitakuwa zinaguswa after kila wiki mbili, juu team mob ziko engaged na mechi za league within hasapa Nai.

Winner wa hii tona ata tia mbosho mita jamo, but kulingana na officials wanadaisha bado wanasakanya sponsors wengi ili team ziende na ganji ya maana.

Hizi game zitachezewa kwa ma uwanjo kadhaa hasapa kanairo including, Baba Ndogo Grounds, Dandora Stadie, Huruma Stadie, Grao ya Ziwa, Uwanjo ya Kihumbuini, na Uwanjo ya BP Shell.

Related Stories