Nux za lungula…

May 6 2015 12:20pm     0 1202

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sijawai elewa wadhii wenye huchagua kumangana lembe ya pets zao. Sa kuna couple nifla imejipata kwa ngori kuruka, juu ya kuamua kumangana lembe ya wagido yao aina ya pitbull. Inakaa walikuwa wameingia kwa zone yenye ilikuwa rough sana hadi wagido ikadhani mbuus alikuwa anaumizwa juu ya venye alikuw anapiga manduru kibao.

Sa wagido ikijaribu kukuwa beshte mpoa, ilirukia mjamaa na kuattack huyo hubby ikijaribu kusave mthama. Husuyo mthama akiwa anatambulika kama Diane Manning, alianza kuwika akiita maneighbor wamuje kuwasaidia. The more aliwika, the more wagido iliuma hubby wa kwake, James Manning.

Maneighbor waliita makarao wakidhani ni kesi ya sexual assault. Juu walimuja kama stenje nzima, alafu walifika kama bado kuna fracas kwa keja. Ilibidi wameshoot ile wagido hadi ikagenya juu ilikuwa imedinda kutulia.

 

Walirudi wakabamba buda,coz walishikanisha yeseye ni rapist. Ata baada ya kupeana statements zao kwa karao, hisihi couple bado ililazimishwa kufika kotiko, James akiwa anacheki kurushwa neti ama alipie bail ya dolare thao chwani, kujitoa kwa hii noma.

Ambapo angefungia wagido njei, hangekuwa na hasara ya kuumwa, kuitiwa makarao na kulipa kotiko juu ya kuhave lungula na wife wa kwake.

 

Related Stories