Cyber Café ikageuka Ward…

May 20 2015 1:00pm     0 629

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inakaa raundi this kuzalia kwa hosi sio trendy anymore. Mthama mjamo mchinku alienda kwa Cyber Café na baada ya kusurf kiasi akiingia loo na kujifungua. Alafu bila kujali madamu, akarudi kwa station yake na kuendelea kusurf.

Xiao Li, msus wa miaka mbaula na nnei, alikuwa amekosana na famo yak wake kabla afike kwa hiyo baze ya kusurf internet. Alikuwa ametumia buu na alikuwa anaenda kusaka hoteli lakini pinji akagosa mkwanja yake. Alibakisha kiasi sana yenye hangeweza kuafford hotel room.

Ambulance iliitwa na wateja wenye walikuwa in shock juu ya madamu kila mahali, lakini Xiao hakutaka kusaidiwa na msee wowote. Atavenye peramedics walifika, alidinda kubebwa na kuchagua kumbetea hadi kwa ambulance.

Husuko hosi aliweza kuwekwa fiti, kupewa keroma na cladi safi na hadi akalipiwa charges za hosi. Sa anangoja famo na baby daddy kumuja kumchukua kutoka hosi. 

Related Stories