Mniaju mnira F1 anafanya mambo

May 22 2015 10:40am     0 414

Photo Credit:Yahoo News   Tingua risto

Kwenye practice session ya fao na seko kwa Monaco Grand Prix, inasemekana Lewis Hamilton alikuwa wa fao kwa race zote mbili na akaset time fastest kwa race zote.

But ata apart from Hamilton mwenye alibambisha race kijana nifla wa miaka kinde na saba anajulikana kama Max Verstappen kutoka Dutch. Husuyu boy hajawai participate kwa international compe na hii ilikuwa mara yake ya fao kuwai jiwakilisha.

Kwa practice ya fao alitokezea kama wa seko aka manage kuvuka hadi maveto wa F1, akina Rosenberg, Vittel na wengine wengi. Kwa hii practice ya seko akakam kama mbana seven, but bado hiyo ni performance mwenda. Sasa tunategea practice ya thado na ni final tuyebi ata perfome asaje….big up.

Related Stories