Uhunye: Orezo of the year

July 6 2015 10:01am     0 568

Photo Credit:Google   Tingua risto

Prezo Uhuru Kenyatta amekuwa voted kama Africa’s President of the Year 2014/2015, juu ya leadership yake fyam. hisihi award ilimuja baada ya consensus ilifanywa both locally na majuu, wakicheki efforts za kuchange policies for the better na kusupervise solutions kwa Kenyan issues.

Sana sana mastiude wa higer education wamekuwa wakirecognise waks yake kwa kuinitiate progressive economic programmmes zenye zimekuwa zikiinua maisha ya raiya wa 254.

Orezo mwenyewe alidaisha angependa mastiude wakuwe na relationship poa na Ministry of Education. Ambapo badala ya kutumia violence kulilia haki zao, kuhusu funding kutoka kwa the Higher education Loans Board(HELB), kwa kufungua communication lines.

Anataka wadhii kutumia resources zenye ziko kufanya Kenya ikuwe a prosperous nation. Kutumia skills na kudevelop innovative ideas pia ni njaro mayut waneweza omoka nayo. Yeseye atakazana kuestablish incubation centers penye mayut wanaweza develop products, explore economic opportunities na hadi kucreate majanta kwa wingi.

Related Stories