Zoezi ya ikuus…

July 28 2015 3:34pm     0 1450

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kila mbuus anafaa kuingia kwa hii zoezi. Reason ikiwa inapeanwa na Fitness instructor anatambulika kama Kim Anami. Huyu nguna anadaisha kulift weights na vitu zinengi akitumia ikuus yake, imeweza improve sex life yake vimajor.

Akiwa masa swa mniaju mjamo, amekuwa akitizi vimost akitumia vitu anaget kwa keja na anadaisha kuwai emotional, mental, physical na spiritual reboot.

Kumbe lungula sio the same tena ukishajua hisihi Kung Fu ya ikuus. Chenye inafaa kama mbuus, ni kujielewa alafu kutumia talanta za kwako kujinice pamoja na partner wa kwako. Uzuri ya hizi tizi za kegel, zinaweza kufanyiwa place yoyote, gidhaa zote. Bora tu kujipanga. 

Related Stories