Miaka chwani bila wrinkles…

July 29 2015 8:48pm     0 651

Photo Credit:Google   Tingua risto

Siri ya urembo inaweza kupatikana piwa? Hanaku time ya kufikiria sana hizi risto ukiwa teenie juu masaibu hazijakuget bado. Lakini miaka zikianzza kusonga ndio msee huanza kunotice vile mwili imekwachu changes mwenda. Alafu horror ya uzae inaingia yadi.

Sa kuna mkanya akona miaka chwani, mwenye ashaget waniaju watatu lakini anakaa ni kama dranya wa miaka mbaula bana. Enyewe ukiyebi mbisha zake huwezi amini riba ya kwake.

Njaro skin yake iko flawless, yaani bila wrinkles alafu akiwa na mwili pienga ajaabu, inashangaza wengi sana. Candy Lo anadaishwa amekuwa Hong Kong socialite mjamo mfyam hadi amechora mbuku inaitwa Timeless.

Kumbe bafo alikuwa model na aliwai shinda kwa Miss Asia Contest ya 1991. Inakaa maisha ya kulea famo haikumlemea viuduu. Sahii inadaishwa ako divorced na ametumia hii time kubamaba mafans wake wa Instagram akiwa anaseti fashion trends.

Bado hajapatiana siri yake ya kubaki young lakini unaweza kujinice na mbisha zake.

Related Stories