Bulb ya ajaabu!

August 27 2015 6:38pm     0 604

Photo Credit:Google   Tingua risto

Unatambua umebadilisha bulb mara gapi kwa mwaka? Sa kuna jamo yenye haijawai burn miaka soh jamo kinde na four sahii. Ata haijulikani kama itawai dinda waks ever.

Hisihi ikiwa bulb iko ninda ya Fire Station husuko Livermore, California. Inadaishwa imekuwa ikipitisha masti tangu 1901. Hadi kunawanga na bash ya kucelebrate maisha yake ndefu in operation. Imeweza kumekisha jina kwa histo hadi tourists humuja kuicheki bana.

Imeprove kukuwa donga hadi kwa masti yenyewe. Matime iliwai zimika zilikuwa less sana na kulingana na wadhii wa hisiyo mazima, wanacheki itaweza kuoutlive raiya wote hasapo.

Related Stories