Yadi za masafara…

August 28 2015 11:11am     0 591

Photo Credit:Google   Tingua risto

Raiya wenye hawakuwai grow up kwa hii mtaa ya Kanairo, wanaamini jiji imejaa na insecurity kila yadi. Lakini kitu yenye hawatambui ni insecurity iko kila place, crime na riba za udingo hukupata area yoyote. Haijalishi kama uko uptown ama downtown. Lakini hii haimaanishi area zote ziko sawa, kuna yadi kadhaa zimekuwa marked kukuwa fyam kuliko zinengi ikifika ni cases za crime. Na pia, kuna area zingine, kuna crime specific pia ndio ziko common kuliko zingine.

Ambapo level ya crime type kadhaa hukuwa iko juu kuruka, ikiwa kutoka rape, car jarcking, murder, drug trafficking, mugging na crime zinengi. Tukianza na kuyebi mtaa ya South B na South C, crime yenye inatambulika sana hizi yadi kuliko riba ya crime zingine zenye zinakua reported kwa masanse, ni udingo ya mandae. Crime ingine iko karibu hasapo ni muggings ama utape na  murder kwa hisiyo by-pass ya kuenda LA yenye imeanzia pale Mombasa Road.

Ukivuka hadi sekta za Westy, hasapa pia kuna vile hii mtaa imetengeza jina sana kama den ya mathegi. Ngori huangukia wadhii wenye hufika husuko kuhepi. Raiya hujipata sana sana wakichotwa ndae alafu victims hupata walidumpiwa mtaa zingine ka Eastlando ama Ruaka. Raiya wa mtaa ya Kile nao hushinda wakiwa carjacked. Blanda hufanyika vile madere wanachill kutinguliwa gate wakifika mtaani ama ka wameenda kudrop msee kwa esto nifla na hapo juu ni keja za geti kali, lazima utulize kiasi gate yenyewe itinguliwe before upenye ninda. Hapa haijulikani kabisa, lakini kuna vile labda machogi pia hukuwa mpangoni na hawa madingo kuteki wadhii alafu wanakanjwa yao idhaa yake.

Mtaa ya Ongwaro nayo inatambulika kukuwa mambo byad hadi hanaku raiya anaweza shughulika kuita makarao juu wako ninda ya hiyo crime industry pia. Inadaishwa hisiyo area ya Congo ndio yadi ya kundonyo tap tap na rende za kugosa hupatikana. Githurai pia imejipata kwa hii list, ikiwa notorious sana.

Mtaa ya Oyole inamuja hasapa bila kufikiria twice. Ikiwa ndio ndonyo ya mbexes after Easich ya mabunde. Inatambulika pia juu ya incidents za rape, muggings na carjacking. Neighbor yao Dando, hukuwa na organized gangs, rende zenye huangushia raiya nightmares aajab. Alafu kuna K-North pia wakiwa na mayut hudai kukuwa players wa futa lakini kumbe biz yao hukuwa kusmuggle mchuma na bidhaa zinengi.

Unapoa mtaa gani na ni crime gani iko juu hio sekta?

Related Stories