60years baaden…

August 28 2015 3:35pm     0 497

Photo Credit:Google   Tingua risto

Guiness World Records inacelebrate mika 60 tangu kuanza kudocument vitu na wadhii wale weird na hufanya mambo za ajaabu. Hisihi mbuku imekuwa famous na inatambulika dunia nzima hadi wasee wengi hufanya juu chuni kutokelezea hapo ninda kama legends.

Sir Hugh Beaver ndio alimuja na hiyo idea ya kurecord mambo weird in 1951. Ilirudi kukuwa published mara ya fao in 1955 husuko UK. Sahii imeweza kundonyo copies zaidi ya mita soh moja salasa na nnei. Alafu inadaishwa kukuwa best-seller kwa mbuku zote duniani.

Ishaweza kurecord riba za the world’s tallest man, tiniest waist, heaviest twins, longest fingernails, longest beard na zinengi kibao.enyewe ni njaro fiti sana ya kukumbuka mambo ziliwai fanyika kwa dunia. Alafu pia inaweza kuwa prezo mwenda sana ya kupeana.

Related Stories