Dishi inamada watoi….

September 30 2015 4:22pm     0 1747

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inadaishwa raiya wamejiachilia sana njaro hadi kuna childhood obesity. Kuna venye mafamo zimekuwa busy kuruka hadi hanaku time ya kucheki keroma ile wanadishi. Mara mob wataprefer kudema junk na kuendelea na maisha bila kufikiria vile itarudi kuwaadhiri.

Kumbe ndio maana kumekuwa na diseases fogo kama diabetes na heart failures zikiwa zimesababishwa na obesity. Imekuwa ni ngori hadi chuo jamo husuko Scotland, iliamua kulazimisha mastiude wake kutembea ama kukimia kilometer jamo daily.

St.Ninians ni primo imekuwa ikitumia hii sheme ya kukimbia kuchuja masaibu za obesity vimajor. Wanadaisha hiyo program imekuwa ikiwork vipoa sana na hawawezi kuiwacha. Zaidi ya kukuwa zoezi tu, imeweza kuwasaidia kukuwa na focused minda pia. Kumaanisha wanachop vimwenda na kuwai results fiti.

Chuo zinengi husuko UK pia zimeanza kukwachu hiyo scheme viserious. Na wanatamani kama kila area inaweza anza kufwatiliwa. Watoi hurudi kuhave fun na wanapata time ya kucheza badala ya kuenda mtaani kuaa mbele ya telly.

Related Stories